call4predictioncall4predictioncall4prediction
0

SORTINGBETTING SITESBONUSSCORINGSIGN UP
1sportpesa300 TL Bonus 5.0 out of 5.0 stars SIGN UP - Login
2betpawa400 TL - %20 Bonus 5.0 out of 5.0 stars SIGN UP - Login
3mbet250 TL - %50 Bonus 5.0 out of 5.0 stars SIGN UP - Login
3mkeka300 TL - %100 Bonus 5.0 out of 5.0 stars SIGN UP - Login
4pari1500 TL Bonus - 250 FREESPIN 5.0 out of 5.0 stars SIGN UP - Login
5play1365 TL Bonus 5.0 out of 5.0 stars SIGN UP - Login
6sokabet1000 TL Bonus 5.0 out of 5.0 stars SIGN UP - Login

Makampuni Bora kwa Kubet Mtandaoni Tanzania

Nchi ya Tanzania ina watumiaji wa mtandao wa intaneti zaidi ya milioni 15, idadi hiyo inafanya idadi ya watu wanao-bet mtandaobi kuongezeka kila siku. Kwa upande mwingine, idadi ya kampuni za ku-bet nayo kuzidi kuongezeka nchini humu, hali inayopelekea ugumu kuchagua kampuni bora ya kuitumia kubeti mtandaoni.
Kwa kuzingatia vigezo muhimu kama njia rafiki za kuweka na kutoa pesa, ukubwa wa odds, huduma kwa wateja na usalama wa pesa zako, hapa chini tumekuwekea orodha ya tovuti bora zaidi za kubetia nchini Tanzania.
Sokabet
Moja kati ya kampuni bora zaidi ya kubetia mtandaoni nchini Tanzania inayokupa uhuru wa kuweka beti zako katika michezo mingi zaidi. Ikiwa na uwanja mpana wa machaguo, Sokabet inawawezesha wateja wake kubashiri karibia katika kila kitu unachoweza kukifikiria. Kitu kingine kizuri kuhusu SokaBet ni kwamba iwanaruhusu kuweka pesa na kutoa kwa kutumia njia zilizozoeleka na zinazotumia zaidi nchini Tanzania.
Kampuni hii imesajiliwa rasmi nchini Tanzania na inatambuliwa rasmi na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, kwa sababu hiyo basi, mteja anaweza kuwa na uhakika na usalama wa pesa zake akibeti na Sokabet.
Muonekano wa tovuti ya Sokabet ni wa kuvutia na rahisi mno kwa mtu kutumia, hivyo basi haikuhitaji kuwa na uzoefu sana na masuala ya kubeti mtandaoni ili kuweza kuitumia.
Sokabet inampa mteja uwanja mpana wa kuchagua michezo ya kuweka beti zake kama vile soka, golf, rugby, tennis, basketball, boxing na minginenyo. Ikumbukwe pia kuwa tovuti hii inatumia lugha za Kiswahili pamoja na Kiingereza.
Meridianbet
Meeidianbet ni kampuni bora na inayozidi kukua siku hadi siku nchini Tanzania. Kampuni hii inakusanya karibia michezo yote mikubwa duniani kama vile soka, rugby, volleyball na mingineyo mingi. Pia wana virtual football, keno na mikimbio ya mbwa & farasi.
BetPawa
Betpawa ni kampuni ambayo ina tovuti yenye muonekano rahisi zaidi kutumia. Wanakupa uwezo wa kuweka beti zako kwenye michezo kama soka na basketball.
Kampuni hii ilianza kutumika nchini Tanzania mwaka 2017 na imesajiliwa rasmi kabisa nchini humu na kupewa kibali na bodi ya michezo ya kubahatisha.
Wengi wa watumiaji wa Betpawa wanaichukulia kama kampuni nzuri kwa kuwekea bashiri za ‘win-draw-win’, kama wewe ni mpenzi wa chagulio hilo zaidi unashauriwa kuwatumia Betpawa.
Sababu nyingine zinazowafanya baadhi watu waendelee kutumia kampuni hii ni pamoja na njia rafiki za kufanyia miamala, kiwango cha chini zaidi cha kuweka bet ni shilingi 1, huduma kwa wateja masaa 24, lakini wengine hawaipendi tovuti hii kwa sababu ya kukosekana michezo mingi na kuwa na machagulio machache ikilinganishwa na kampuni zingine.
M Bet
Hii ni kampuni ya kwanza ya kitanzania ya kubeti nchini Tanzania. Wanatoa odds katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu na machagulio mbalimbali kama vile win-draw-win, Handicap, Correct score na mengineyo.
Sportspesa
Kampuni bora ya kubetia sio tu nchini Tanzania, bali katika nchini zingine za Africa. Sportpesa wa na odds za kuridhisha sana na pia wanatajwa na wengi kama kampuni bora zaidi kwa ajili ya kucheza Jackpots. Kama wewe ni mtu mwenye ndoto ya kuja kupiga hela ndefu kwenye betting hususani Jackpot basi jaribu kutumia kampuni hii.
Lakini pia Sportpesa inatoa uwanja mpana wa machagulio ya kuweka bashiri, pia wanatoa bonasi za kutosha kwa ajili ya wateja wake.
Mkekabet
Kama unataka kampuni bora zaidi kwa kuweka bashiri ya chaguo la timu zote kufungana (GG/BTTS) basi jaribu kuwatumia Mkekabet.
Mkekabet Tanzania ni kampuni inayojitahidi kuwekeza sana kuwarahisishia wateja wake kuweka bashiri kwa urahisi kwenye soka na michezo mingine michache. Sifa nyingine nzuri ya Sokabet ni huduma kwa wateja masaa 24.
Playmaster
PmBet, au PlayMaster ni kampuni mpya ya kubeti nchini Tanzania iliyoundwa mwaka 2014 yenye odds za kutosha, michezo mingi na pia wanatoa huduma nzuri kwa wateja inayowawezesha wateja kuwasilisha na kutatuliwa shida zao kwa wakati.
PmBet wanashirikiana na kampuni maarufu ya kuonesha michezo ‘live’ ya TVBET hivyo kurahisisha uchezaji wa live bets.
Parimatch
Parimatch ni kampuni yenye njia rahisi na salama za kuweka pesa, odds kubwa na huduma kwa wateja inayopatikana muda wote. Sifa hizo na zingine nyingi zinaifanya kuwa kampuni bora ya kubetia Tanzania.
Tovuti ya Parimatch ina muundo wa kuvutia na imepambwa na rangi nyekundu, njano na nyeupe zinazoifanya isichoshe macho ya mtumiaji. Kama ukipata nafasi ya kutembelea tovuti ya kampuni hii utashangazwa na namna ambavyo michezo na odds zimepangwa kiubunifu na urahisi.
Parimatch wanatoa machagulio mbalimbali kama win-draw-win, handicaps, na Totals. Huduma nyingine muhimu na inayopendwa zaidi na watumiaji ni uwepo wa CashOut.

TOVUTI BORA ZA KUBETIA

Zamani ilikua mtu akitaka kubeti ni lazima awahi kufanya hivyo kabla mechi husika haijaanza. Zama hizo sasa zimepitwa na wakati. Hivi sasa tovuti nyingi za kuebetia zinatoa nafasi kwa wateja wake kubetia mechi hata ikiwa imeshaanza.
Kwa maoni yetu, tunafikiri kubetia mechi ikiwa imeanza mara kadhaa inaweza kuwa bora zaidi ya kubeti kabla. Kubetia mechi ikiwa inaendelea inampa urahisi wa kuwa ameusoma mchezo hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuweka bashiri yenye uwezekano mkubwa wa kutoa.
Kampuni nzuri ya kubetia in-plays ni ile ambayo ina update odds za mchezo husika kwa wakati, inayotoa masoko mengi kwa mechi zinazoendelea na pia yenye kuweka mechi nyingi zinazoendelea katika uwanja wa kuwekewa beti. Kwa kuzingatia vigezo hivyo hapo juu, kampuni bora za kucheza aina hii ya betting ni 1xbet, Sokabet, Betway na Playmaster Betting.

Live Streaming ni huduma nzuri hasa kwa wakamaria ambao wanapenda kucheza in-plays. Kwa kuligundua hilo, baadhi ya tovuti za kubetia mtandaoni zinatoa huduma hiyo kwa wateja wake bure kabisa. Baadhi ya tovuti hizo ni 1xbet, Betwinner, Melbet, Bet365, Bwin, Betfair na WilliamHill.

Ni sahihi kwa mkamaria kujua kampuni inayotoa odds nyingi kabla hajaamua kuitumia, lakini unatakiwa kujua kuwa hakuna tovuti ya kubetia itakayotoa odds nyingi zaidi katika michezo yote na wakati wote.
Unaweza kukuta tovuti fulani ya kubetia inatoa odds nyingi katika mchezo mmoja, mathalani mpira wa miguu, huku kampuni nyingine ikawa na odds nyingi kwenye basketball, kesho yake ukakuta tofauti. Hivyo basi, wakamaria wanashauriwa kutumia program za mtandaoni zinazotumika kulinganisha odds ili wajue tovuti yenye odds nyingi kwa mechi husika.

Zama za kusubiri mpaka mechi iishe ndiyo uweze kuchukua hela uliyoshinda katika beti, au kuokoa kiasi kidogo cha stake yako kabla mambo hayajaharibika zaidi zimepitwa na wakati. Siku hizi tovuti nyingi za kubetia zina huduma ya ku cash out kiasi chako wakati wowote ukiona huduma hiyo katika mkeka wako.
Kama unapenda kutumia huduma hii, tembelea tovuti ya kampuni yako kuona kama wanayo.
Baadhi ya kampuni ambazo zina Cash Out yenye vigezo rahisi ni pamoja na 1xbet, 22bet, Bet365, Parimatch, Sokabet, Ladbrokes, William Hill na nyinginezo.

Beti ya Bure ni kiasi ambacho tovuti ya kubetia inakupa ili uweze kuweka mkeka. Tovuti nyingi za kuebetia hutoa hii ofa kama njia ya kuvutia wateja wapya.
Tofauti kati ya Beti ya Bure kutoka beti ya kawaida ni kwamba hii stake sio juu yako, inagharamiwa na kampuni husika. Ili kujua kama kampuni yako inatoa Beti ya Bure na masharti yake tembelea tovuti ya kampuni husika.

Tovuti nyingi za kubetia hutoa bonasi na ofa mbalimbali ili kuvutia wateja wapya kujiunga na huduma zao, miongoni mwa tovuti hizo ni Sokabet. Kwa kawaida bonasi hizo huwa na masharti mbalimbali ya namna ya kuzitumia.
Zifuatazo ni ofa na bonasi zinazotolewa na tovuti ya Sokabet:

Hii ni bonasi inayotolewa kwa wateja wapya wa Sokabet mara baada ya kujisajili na tovuti yao. Bonasi hiyo ni beti ya bure ya shilingi 2,000, bonasi hiyo haiwezi kutumiwa au kutolewa iwapo masharti yafuatayo hayajatimizwa.

 • Bonasi hii ni kwa wateja wapya tu.
 • Ni kwa ajili ya kubetia na haiwezi kutolewa.
 • Kama Isipotumika ndani ya siku saba baada ya kupewa itaondolewa.
 • Ni kwa ajili ya matumizi ya kubetia michezo tu.
 • Haiwezi kutumika kubetia in-plays.
 • Inaweza kutumika katika mkeka mmoja tu.
 • Ili uweze kuitumia ni lazima utengeneze mkeke wenye mechi zisizopungua 7 na kila mechi iwe na odds kuanzia 1.7 na kuendelea.
 • Beti ulizoweka kutumia bonasi hii huwezi kuzifanyia Cash Out.
 • Kiasi cha juu zaidi unachoweza kushinda kutumia bonasi hii ni shilingi 50,000.
 • FIRST DEPOSIT BONUS

Sokabet wanatoa bonasi ya 100% ya kiasi utakachoweka mara ya kwanza katika akaunti yako.
Hivi hapa ni vigezo na masharti ya ofa hii:

 • Bonasi hii ni kwa ajili ya wateja wapya na hutolewa mara moja tu.
 • Bonasi hii hutolewa sawa sawa na kiasi utakachoweka mara ya kwanza (100%).Bonasi hii hutolewa sawa sawa na kiasi utakachoweka mara ya kwanza (100%).

 • Bonasi hii haiwezi kutolewa.
 • Usitumie kiasi ulichoweka kabla ya kupokea bonasi hii.
 • Kiasi cha juu kabisa cha bonasi hii ni shilingi 50,000 hata kama kiasi ulochoweka kikizidi 50,000.
 • Kama Isipotumika ndani ya siku saba baada ya kupewa itaondolewa.
 • Haiwezi kutumika kubetia in-plays.
 • Ili uweze kuitumia ni lazima utengeneze mkeke wenye mechi zisizopungua 7 na kila mechi iwe na odds kuanzia 1.7 na kuendelea.
 • Baada ya kupokea bonasi hii, ili uweze kuruhusiwa kuitoa ni lazima uizungushe bonasi hiyo kubetia mara 10, na kiasi cha bonasi ukibetia mara 10 pia.

No products in the cart.

Subscribe to our newsletter

Sign up to receive latest news, updates, promotions, and special offers delivered directly to your inbox.
No, thanks
X